- 252 viewsDuration: 2:21Wakaazi wa kijiji cha Chibwaga eneo la Tiwi Kaunti ya Kwale wamelalamikia kile wanachodai ni matumizi ya maafisa wa usalama na baadhi ya mabwanyenye kuingilia migogoro ya ardhi, huku wakidai kuwa polisi wanatumiwa kusimamia ujenzi kwenye ardhi zenye mizozo.