Wakazi wa Embakasi wahofia gesi kulipuka tena na kusababisha maafa eneo la mkasa unaovuja gesi bado

  • | West TV
    31 views
    Hali ya taharuki ilitanda katika mtaa wa mradi katika eneo la embakasi mashariki baada ya wakazi wa sehemu hiyo kulazimika kuhama kwa muda kutokana na hofu kuwa kuna gesi iliyokuwa inavuja na kusambaa kutoka eneo la mkasa uliotokea iijumaa juma lililopita na kusababisha vifo vya watu sita na mamia wengine kujeruhiwa