- 126 viewsDuration: 1:45Wakazi wa Embobut kaunti ya Elgeyo Marakwet wametia saini mkataba wa makubaliano ya kukomesha ukeketaji katika eneo hilo. Kwenye hafla iliyofanyika mjini Iten, wakazi hao wamesema kuwa licha ya wengi wao kukeketwa,hawajaona faida yoyote.