Wakazi wa eneo la Ilodokilan katika kaunti ya Kajiado walalamikia kuhangaishwa na ndovu

  • | Citizen TV
    121 views

    Wakazi wa eneo la Ilodokilani katik eneo la Kajiado magharibi wanalalamikia kuhangishwa na Ndovu wanaosababisha uharibifu wa mali na mimea, mbali na kuwahangaisha. Wakaazi hawa sasa wanasema wanahofia usalama wao, wakitaka shirika la huduma kwa wanyamapori kuingilia kati.