Wakazi wa Ganze wataka serikali kudjhibiti ndovu

  • | KBC Video
    6 views

    Wenyeji wa eneobunge la Ganze kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuu kutimiza ahadi ya kuweka ua kuzingira mbugha ya kitaifa ya Tsavo kufuatia msururu wa uvamizi wa ndovu katika eneo hilo ambapo maisha ya wakazi yamo hatarini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive