Wakazi wa Garissa watakiwa kuhifadhi maji ya mvua kwa wingi

  • | Citizen TV
    34 views

    Kampuni ya kusambaza maji mjini Garissa GAWASCO imetoa ilani kwa wenyeji kuwa huenda kukashuhudiwa uhaba wa maji kufuatia kuongezeka kwa viwango vya maji katika mto Tana.