Wakazi wa Gituamba na Getuya waandamana kulalamikia kusimamishwa kwa ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    608 views

    Shughuli za usafiri barabara Kuu ya Baricho Kuelekea Getuya eneo bunge la Ndia Kaunti ya Kirinyaga zilitatizika kwa muda baada ya Wakazi wa Gituamba na Getuya kuandamana kulalamikia kusimamishwa kwa ujenzi wa barabara inayofadhiliwa na Serikali Kuu.