Wakazi wa Huruma Wakataa Mpango wa Kibiashara kwa Ardhi ya Kidini

  • | NTV Video
    30 views

    Wakazi wa Huruma wamesema mpango wa kuendeleza kipande cha ardhi kilichotengwa kwa shughuli za kidini na kielimu unakiuka masharti ya matumizi ya ardhi hiyo. Eneo hili ndilo pekee linalotumika kwa ibada ya Waislamu katika sikukuu za Iddi kutoka maeneo jirani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya