Wakazi wa Jimbo la Mississipi wapoteza mali zao kufuatia kimbunga hatari

  • | VOA Swahili
    604 views
    Wakaazi wa jimbo la Mississipi Marekani wameharibiwa mali zao kufuatia kimbunga hatari kilichopiga Ijumaa usiku. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kuhusu janga hilo na namna lilivyosambaa katika maeneo ya makazi ya watu. Endelea kusikiliza #wakaazi #mali #nyumba #vifo #uharibifu #mississipi #jimbo #voa #voaswahili #dunianileo # - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.