26 Sep 2025 10:10 am | Citizen TV 1,495 views Duration: 1:57 Wakazi wa Kaitui kaunti ya Kericho waliwapiga kwa mawe washukiwa wawili wa wizi wa pikipiki hadi kufa kisha wakateketeza gari walilokuwa nalo.