Wakazi wa Kakwanyang Turkana wapewa zawadi za Krismasi

  • | Citizen TV
    1,150 views

    Waumini wa kanisa moja kutoka kaunti ya Trans Nzoia chini ya wakfu wa wema, wamepeleka chakula cha msaada katika kijiji cha Kakwanyang kaunti ya Turkana. Wakazi wengi wa kijiji hicho hasa akina mama wakongwe wameathrika na njaa