- 341 viewsDuration: 1:46Wakazi wa Kambiti na Maranjau katika Eneo bunge la Maragua, Kaunti ya Murang'a, wameelezea ghadhabu yao kufuatia hali mbaya ya barabara inayounganisha maeneo hayo, wakisema wameachwa nyuma kimaendeleo kutokana na miundombinu duni.