- 877 viewsDuration: 3:13Viongozi, wanaharakati na wakazi wa kaunti ya Nyeri wamefanya maandamano ya amani kulalamikia kuongezeka kwa visa vya ubakaji na mauaji ya watoto katika kaunti hiyo. Wakiwa wamebeba mabango walitembea kilomita 15 hadi nyumbani kwa Shantel Waruguru mtoto wa miaka saba aliyepatikana ameuawa wiki jana.