- 569 viewsDuration: 1:27Wakazi wa eneo la Kathima, Eneo bunge la Igembe Kusini kaunti ya Meru wanalalamikia ukosefu wa miradi ya maendeleo na hali nduni ya barabara eneo hilo. Wanasema ujenzi wa barabara ya eneo hilo ulianza mwaka wa 2017 lakini Mwanakandarasi aliondoka na kuiacha ikawa haipitiki . barabara hiyo inaunganisha eneo bunge la Igembe kusini na Igembe ya kati, Wadi ya Maua, Njia na Igembe Mashariki.