30 Apr 2026 1:31 pm | Citizen TV 66 views Wakazi wa kaunti ya Baringo wameelezea hasira zao kufuatia uamuzi tata wa bodi ya Shule ya Upili ya Kabarent wa kukata miti asili kwenye ardhi iliyotolewa kwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kabarent.