Wakazi wa kaunti ya Isiolo watangamana na walinda usalama kujadili mbinu za kutokomeza uhalifu

  • | KBC Video
    36 views

    Wananchi katika eneo la Kipsing, kaunti ya Isiolo walijiunga na maafisa wa utawala na kitengo cha GSU kwa siku ya kujiburudisha kama njia ya kukuza uhusiano mwema baina ya jamii na maafisa wa polisi. Aidha, shughuli hiyo inadhamiria kukuza ubadilishanaji habari kama moja ya njia za kukabiliana na utovu wa usalama katika eneo hilo. Barnabas Kimotok,ambaye ni naibu kamishna wa tarafa ya Oldonyiro, alipongeza mpango huo akisema unapasa kutekelezwa katika eneo hilo lote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubiniwikendi