Wakazi wa kaunti ya Kilifi wahimizwa kujisajili kwenye vyama vya ushirika

  • | Citizen TV
    136 views

    Wakazi wa kaunti ya Kilifi wamehimizwa kujisajili kwenye vyama vya ushirika ili kufaidi hazina ya mkopo wa shilingi bilioni 1.