Wakazi wa Kaunti ya Samburu waelezea changamoto nyingi wanazopitia wakisaka hati za umiliki wa ardhi

  • | Citizen TV
    219 views

    Wakazi wa Kaunti ya Samburu wameelezea kupitia changamoto nyingi wakisaka hati za umiliki wa ardhi. wakazi hao wameibua tetesi za mlungula kugubika mchakato huo. Haya yamejiri katika hafla ya kutoa hati za umiliki wa ardhi Kwa wakazi katika uga wa Michezo wa Kenyatta mjini Maralal.