Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu washauriwa kupimwa Saratani mapema

  • | Citizen TV
    236 views

    Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu wanaendelea kujitokeza kwa wingi kupimwa dhidi ya ugonjwa saratani, katika kampeini inayoendelea kuwahamasisha wakazi mashinani kuhusu umuhimu wa kupimwa na kupewa chanjo mapema....Janga la saratani limewahangaisha wengi huku wito ukitolewa kwa wakazi kupimwa mapema ili wazuie au kuanza matibabu kwa wakati unaofaa