Wakazi wa Kericho waandamana EACC kufanya uchunguzi kwa waliohusika na sakata ya Sh. Billioni 55.4

  • | Citizen TV
    439 views

    Wakazi wa Kericho wameandamana wakiitaka tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC kufanya uchunguzi wale waliohusika na sakata ya Shillingi Billioni 55.4 ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kerenga.