25 Sep 2025 10:23 am | Citizen TV 259 views Duration: 1:43 Wakaazi 48 wa kijiji cha Mwachome katika kaunti ya Kwale wamewasilisha kesi mahakamani kuishtaki kampuni ya saruji ya Bamburi Cement wakidai ilikiuka mkataba wa maelewano wa ardhi , walioafikiana miaka mitatu iliyopita.