Wakazi wa Kipkaren anakotoka Lagat wasema sheria ifuatwe

  • | Citizen TV
    1,892 views

    Wakazi kutoka kijiji cha Selia kwenye eneo Bunge la Mosop huko Nandi anakotoka Naibu inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat wameandamana wakitaka Lagat kufanyiwa haki kwa tuhuma zinazomsibu kuhusu mauaji ya mwalimu Albert Ojwang