- 64 viewsDuration: 1:39Ulimwengu unapoadhimisha siku ya kimataifa ya kitambulisho, wanaharakati kutoka mashirika mbalimbali za kutetea haki za binadamu wameandaa msafara wa kuhamaisha umma mjini Kisii kwa lengo la kuelezea umma umuhimu wa kushika vitambulisho