Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kisiwa cha Wasini, Kwale wahofia kufurushwa kwenye ardhi yao

  • | TV 47
    25 views
    Duration: 2:54
    Wakazi wa Kisiwa cha Wasini, Kwale wahofia kufurushwa kwenye ardhi yao. Wakazi hao wapinga uamuzi wa NLC kuhusu umiliki wa ardhi hiyo. NLC yatoa cheti cha kumiliki ardhi hiyo kwa familia ya Saggaf Alawly. Seneta Mteule wa Kwale kuelekea kortini kutetea haki ya wakazi wa kisiwa hicho. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __