Wakazi wa Koita katika eneo bunge la Sotik walalamikia hali mbaya ya barabara

  • | Citizen TV
    564 views

    Wakazi wa Kijiji cha Koita katika eneo bunge la Sotik kaunti ya Bomet wamelalamikia hali mbaya ya barabara inayoelekea Kapkoros Kutoka Chebole