Wakazi wa kwa Bullo Mombasa wamuuwa mshukiwa wa mauaji

  • | Citizen TV
    1,696 views

    Familia moja kutoka mtaa wa kwa Bullo kaunti ya Mombasa imeachwa na majonzi baada ya mtoto wa miaka minane kudungwa kisu kwenye tumbo na mgongo mara kadhaa hadi kufa. Mshukiwa anayedaiwa kutekeleza unyama huo alishambuliwa na wenyeji na kuuwawa papo hapo kabla ya mwili wake kuteketezwa