Wakazi wa Lamu wataka msimamizi wa Kenya Power ahamishwe

  • | Citizen TV
    1,227 views

    Wakazi wa Lamu wameshinikiza msimamizi wa shirika la umeme KPLC Lamu kuhamishwa baada ya nguvu za umeme kupotea kwa muda mrefu. Hali hiyo imesababisha huduma nyingi nyumbani, hospitalini na sehemu za biashara kuathirika huku nyama na samaki kwenye majokofu zikioza.