Wakazi wa Magharibi washauriwa kukoma kusuluhisha kesi za dhuluma kwa watoto nyumbani

  • | West TV
    43 views
    Mwezi huu wa novemba ukiwa umetengwa na huduma za mahakama kuadhimisha mwezi wa huduma kwa watoto, maadhimisho ya mwaka huu yanaadhimishwa kukirekodiwa visa vya dhulma dhidi ya watoto katika mahakama za kaunti ya vihiga ila kujiondoa kwa mashahidi kumelemaza juhudi za idara ya mahakama kuwatendea haki waathiriwa