Wakazi wa Makueni watakiwa kutumia msimu huu wa mvua kupanda miti

  • | Citizen TV
    319 views

    Wakazi wa kaunti ya Makueni wametakiwa kutumia msimu huu wa mvua kupanda miti kwa wingi katika harakati za kukabili mabadiliko ya tabia nchi. imebainika kuwa uharibifu wa misitu kwenye kaunti hiyo umepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia kuanzishwa kwa vikundi vya kijamii vya kutunza misitu.