5 Feb 2026 1:28 pm | Citizen TV 48 views Shughuli za elimu,kilimo na usafiri zimeendelea kuathirika Kisiwa cha Manda kaunti ya lamu kwa sababu ya wanyama pori wanaojumuisha nyati zaidi ya 500,chui,fisi na, mbwa mwitu katika Kisiwa hicho cha Manda.