Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Marsabit na Samburu wakumbatia mlo wa vinyenje

  • | KBC Video
    130 views
    Duration: 6:55
    Je, unajua kwamba baadhi ya wadudu kama vinyenje wana protini na mafuta yenye afya kuliko nyama ya ng’ombe au kuku? Katika kaunti za Marsabit na Samburu, wanawake wameanza kufuga vinyenje ili kupambana na njaa, kutunza familia zao na kuvunja kimya katika jamii ambazo mara nyingi huwanyamazisha. Mwanahabari wetu wa mazingira, Opicho Chemtai, anatuletea simulizi yao ya kushangaza ya jinsi wadudu hawa wadogo wanavyobadilisha maisha yao Kaskazini mwa Kenya. Ni ushahidi kuwa suluhisho ndogo linaweza kuleta mabadiliko makubwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive