- 1,685 viewsDuration: 3:49Wakazi wa Mavindini, Kaunti ya Makueni, wameitaka serikali na wasimamizi wa mradi wa Bwawa la Thwake linaloendelea kujengwa kuwapa majibu kuhusu uharibifu wa nyumba na mali wanaodai ulisababishwa na shughuli za ulipuaji wa mawe katika eneo hilo la ujenzi wa bwawa hilo