- 95 viewsDuration: 1:40Wakazi wa mtaa wa Maisha Green katika wadi ya Mowlem, eneo bunge la Embakasi Magharibi, sasa wana matumaini kupata hati miliki zao za ardhi baada ya serikali ya Kaunti ya Nairobi kuanza mchakato wa kuwapatia hati miliki za ardhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive