Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa mtaa wa ‘Old Race Course’ huko Kariokor walalamikia unyakuzi wa barabara ya umma

  • | KBC Video
    130 views
    Duration: 3:01
    Wakazi wa mtaa wa ‘Old Race Course’ huko Kariokor, eneo bunge la Starehe jijini Nairobi walishiriki maandamano ya amani leo kulalamikia kile walichokitaja kuwa unyakuzi wa barabara ya umma ambayo imekutumika na jamii ya eneo hilo kwa miongo kadhaa. Wakazi hao wanatoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua wajenzi wa kibinafasi ambao wamefunga barabara hiyo inayounganisha makazi, shule, maeneo ya biashara na hospitali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive