Wakazi wa Mumoni Mwingi kupewa hatimiliki ya mashamba yao

  • | Citizen TV
    239 views

    Serikali kupitia wizara ya ardthi imeanzisha zoezi la kuyafanyia usorovea mashamba ya wadi ya Mumoni huko Mwingi kaunti ya Kitui