Wakazi wa Nakuru wafunzwa mbinu za kilimo cha kibayolojia

  • | Citizen TV
    61 views

    Wakulima katika kaunti ya Nakuru wanashiriki mafunzo ya kutumia mbinu za Kilimo za kibayolojia ili kukuza mimea bora. Hii ni mojawapo ya mbinu za kupunguza dawa ambazo zina kemikali yenye sumu ambazo zinaweza kuwa na athari kwa mimea.