28 Oct 2025 7:47 pm | Citizen TV 1,534 views Duration: 1:41 Wakaazi wenye hamaki katika eneo la nanderema eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega wamemteketeza hadi kufa mshukiwa wa mauaji ya mtoto wa miaka mitano