Wakazi wa Nyamache, Kisii wadai uvamizi wa mnyama asiyetambulika

  • | KBC Video
    12 views

    Wakazi wa eneo la Nyamache katika Kaunti ya Kisii wanaishi kwa hofu baada ya kushambuliwa mara kwa mara na mnyama ambaye hajatambuliwa huku ikidaiwa ametoka Hifadhi ya Kitaifa ya anyama pori ya Maasai Mara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive