Wakazi wa Ol-Joro Orok waandamana wakilalamikia ongezeko la pombe haramu

  • | Citizen TV
    212 views

    Wakazi wa kijiji cha Kampi Sumari na Kamukwa katika eneobunge la Ol-Joro Orok kaunti ya Nyandarua wamefanya maadamano dhidi ya biashara ya vileo katika eneo hilo