- 240 viewsDuration: 1:57Wakazi wanoishi katika jiji cha Oloompaluani iliyoko Kajiado ya magharibi wanalalamikia ubovu wa barabara ya kilomita 12 inayouganisha eneo hilo na barabara kuu ya Magadi. Kwa mujibu wa wakazi hao wanasema barabara hiyo imetelekezwa kwa muda mrefu na kuwaacha wenyeji na changamoto ya kubwa ya usafiri. kulingana nao, magari mengi ya uchukuzi wa umma na hata wahudumu wa pikipiki wamedinda kutumia barabara hiyo, na hivyo kuwaacha wakazi hao na mahangaiko zaidi hasa wanapotaka kusafiri.