Wakazi wa On’gata Rongai, Kajiado walalamikia huduma za afya

  • | KBC Video
    22 views

    Wakazi wa On’gata Rongai katika kaunti ya Kajiado wana wasiwasi kuhusiana na kile wanachokitaja kuwa kutopatikana kwa urahisi kwa huduma za afya kupitia mfumo mpya wa afya ya jamii-SHA. Wanadai kwamba tangu kuzinduliwa kwa halmashauri ya SHA, maelfu ya wananchi wananyimwa fursa ya kupata huduma hizo hadi walipe kikamilifu ada zinazowapasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive