Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Riketa wamefurahia amani ya miaka 12

  • | Citizen TV
    678 views
    Duration: 3:06
    Machafuko ya jamii za pokomo na orma kaunti ya Tana River mwaka 2012 yaliwaacha watu 118 wakipoteza maisha yao, maelfu kuacha bila makao. Kijiji cha Riketa ndicho kilichiathirika zaidi. Miaka 13 baadaye makovu ya makabiliano hayo ya kisiasa baina ya jamii hizo mbili yamesalia japo amani imerudi