Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Saku 4, 200 wapewa chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    225 views
    Duration: 1:08
    Ni afueni kwa wakazi ambao wanakabiliwa na baa la njaa katika eneo bunge la Saku kaunti ya marsabit. watu zaidi ya elfu 4200 wamenufaika na msaada wa chakula kutoka shirika la Maahad Dawa. Kila familia imepokea unga wa mahindi kilo 10, maharagwe kilo 2 na pakiti kadhaa za chum