Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Seme waonywa dhidi ya kuwinda na kula ndege wa kwarara

  • | Citizen TV
    2,699 views
    Duration: 2:27
    Shirika la huduma kwa wanyamapori sasa limetoa onyo kwa wakazi wa eneo la Seme kaunti ya Kisumu, ambao wanawinda na kula mdege aina ya kwarara . Kulingana na msimamizi wa kisiwa cha Ndere, idadi ya ndege hao imepungua maradufu .licha ya utafiti kuonyesha uwezekano wa ndege hao kuwa hatari kwa binadamu, wakazi wa Seme wamekata kauli ya kuwinda ndege hao.