16 Sep 2025 1:24 pm | Citizen TV 202 views Duration: 1:43 Mtu mmoja anauguza majeraha katika hospitali ya Kapenguria baada ya kupigwa risasi wakati polisi waliposambaratisha maandamano ya wakazi wa Sina, Kaunti ya Pokot Magharibi.