- 192 viewsDuration: 1:52Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wametoa wito kwa serikali ya kitaifa kupunguza mzigo wa ushuru unaowaathiri Wakenya wengi, hasa wafanyabiashara wadogo, ambao wanakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kupungua kwa matumizi ya wananchi.