Wakazi wa Trans-nzoia wanasisitiza mazungumzo ya viongozi

  • | Citizen TV
    765 views

    Baada ya polisi kutibua maandamano ya azimio hapo jana mjini kitale, Wakazi wa kaunti ya Trans-Nzoia wanasisitiza lazima mazungumzo yafanyike ili mwafaka upatikane na kuwaondolea hofu wafanyibiashara kutokana na rabsha ambayo hutokea kati ya polisi na waandamanaji.