Wakazi wa vijiji 11 katika kaunti ya kirinyaga kupewa hatimiliki za mashamba yao

  • | Citizen TV
    208 views

    Ni afueni kwa maelfu ya wakaazi wanaoishi katika vijiji 11 kaunti ya Kirinyaga baada ya serikali kuahidi kuwapa hatimiliki za mashamba yao yaliyomilikiwa na mkoloni