Wakazi wa vijiji vya Baraka Farm na Nyakinywa waandamana wakilalamikia ukosefu wa umeme kwa miezi 3

  • | Citizen TV
    64 views

    Wakazi wa vijiji vya Baraka Farm na Nyakinywa katika Kaunti ya Trans Nzoia wameandamana wakilalamikia ukosefu wa umeme kwa muda wa miezi mitatu.