23 Oct 2025 1:52 pm | Citizen TV 303 views Duration: 1:50 Wakazi wa kijiji cha Raap, wadi ya Oldonyiro kaunti ya Isiolo wameanza shughuli za kuboresha mazingira yaliyoharibiwa na mmomonyoko wa udongo .